Uwekezaji ni hatua ya kuamua kuweka mbegu katika shamba ili uweze kuvuna kwa faida, umekasirika huu wa mbegu unahusianishwa na habari mbali mbali mbali mpaka itakapofikia hatua ya kuvuna. Kwa hiyo mwaka mbegu hapana kuwa na moyo wa uvumilivu na udhuru tu. Elimu ni mojawapo ya uwekezaji ambayo mtu yeyote huweka mbegu mahali kwa muda na kutegemea kuvuna baadae. Uwekezaji huu huwa ni mzuri kwa sababu huwa na uongozi wa wazazi na jamii kwa ujumbe na serikalini huweka msisitizo mkubwa sana juu ya uwekezaji huu. Kwa bahati mbaya au nzuri huwa anayewekezewa hatambui umuhimu au kusudio la umuhimu wa uwekezaji huu katika miaka ya awali ila huelezwa pole pole na wazazi, waalimu na walezi na kadiri muda unavyokwenda huelewa umuhimu wa uwekezaji huu.
Elimu ni moja ya uwekezaji muhimu sana kwani huduma Rasilimali nyingi sana ikiwemo muda, fedha, na Rasilimali nyingi sana! Swali linakuja je utapata faida kutokana na uwekezaji huo? Je waliogharimikia uwekezaji huo wananufaika na faida itokanayo na uwekezaji huo? Je wazazi, serikali na jamii kwa ujumla wanapata faida? Ni muhimu ujue kuwa mahali ulipofika kielimu ni mchango a jamii, wazazi, serikali na umma kwa ujumla hivyo ujue kuwa unapaswa kushirikisha sehemu ya mafanikio yako ya elimu kwa jamii. Ulifanikiwa kusoma ujue huo ni uwekezaji na usifanye mchana nao kwani tunatarajia kuona faida itokanayo na uwekezaji huo. FAIDA tunayotegemea kuona ni kama vile kuhudumia jamii, kushauriwa, jamii na kutumikia serikali iliyokuwekea mazingira ya kufanikisha huo uwekezaji, kusaidia wazazi waliojjinyima na kutoa muda wao mwingi kukushauri kukusimamia na kukuongoza kufikia hatua ulikofikia. Ni vizuri na ni baraka sana karudisha fadhila kwa jamii kwa kufikia hatua na mafanikio ulionayo kwa kusoma. Kuna kazi kubwa uliyofanyika hadi kufikia hapo ulipofika.
Tumia elimu kama maji na sio kama silaha ya kunyanyasa wasio nayo au wasio chini yako, tumia elimu kuzalisha Mali kwa manufacturer ya wengine na sio manufaa yako pekee.Wekeza elimu yako Kwenye jamii inayokuzunguka ili wanufaike na wewe! Je unawezaje kuwekeza elimu kwa jamii unayo kupunguza? Hili linawezekana kwa njia mbali mbali mfano kuanzisha Miradi itakayonufaisha jamii, kutoa elimu kuhusu jambo fulani au changamoto inayozunguka jamii au kuanzisha biashara kutokana na elimu yako na hatimaye kuajiri watu wanaokuzunguka wakanufaika. Ukipata elimu usiwe mbahili kushirikiana na jamii.

No comments:
Post a Comment