KAMA ELIMU NI UFUNGUO KWANINI WATU WENGINEWATUMIE UFUNGUO WAKO? - MULTISKILLS CONSULTANCY

Latest

business & management consultancy

Friday, June 2, 2017

KAMA ELIMU NI UFUNGUO KWANINI WATU WENGINEWATUMIE UFUNGUO WAKO?

Watu wengine tuliosoma hatupendi kutumia elimu kwa manufaa yetu isipokuwa tunakimbilia kutimiza ndiyo na maono ya watu wengine! Kwa lugha nyingine tunatumia elimu yetu kuwafungulia wengine milango yako ya naisha.Fikiri unasoma unawaza tu kutumia na watu wabunifu tena wasio na utaalamu ulio Nao!Sikiliza ajira ni njia sahihi ya kusikia umasikini wa kipato! Na ajira ni ajira tu hata ubadilishe mwajiri ni sawa na kubadili njia ya unayotumia kusafiria kuelekea katika umasikini wa kipato!Sina maana ya kuchukua ajira ila tunapoajiriwa tuache kuwaza mshahara kuongezeka tu,fikiria jinsi ya kuongea kipato na njia halali za kupata kipato! "Employment is never certain" Ukitengeneza milango yako ya hela umetengeneza kofuli LA Nyumba yako ambayo ufunguo unajua kutengeza mwenyewe pia hivyo hutakaa ushindwe kufunga! Amka acha kufungulia watu maisha fungua ya kwako mwenyewe! Tuma elimu kwa manufaa yako na wengine!

1 comment:

  1. UHUSIANO WA ELMU NA UMASIKINI
    Kuwa na elimu sio ndo kuwa tajiri, elimu unaweza kukufanya kuwa masikini. Kama elimu haitumii mazingira ya kawaida kunyamvulisha na kutumia fursa zilizoko katika mazingira basi jua elimu yako utakuwa ni chanzo kikuu cha umasikini kwako! Ukisoma alafu inategemea kuajiriwa ndo uwe tajiri basi jua pia umejiandaa kuwa masikini na kuishi maisha ya taabu sana mbeleni! Kwanini nasema hivyo,kwa sababu ukijiariwa na na MTU binafsi ,na kampuni binafsi ujue unatekekeza maono ya MTU mwingine na utapata mshahara ambayo ni kama asante ya kufanya MTU mwi fine asongebele na maono yake.Ukiajiriwa ujue umepoteza Uhuru wa muda na Uhuru wa kufikiri na Uhuru wa kuamua pia. Kwanini nasema hivyo? Kwa sababu ukiajiriwa mambo yafuatayo yatalukabili,moja utawajibika kutoka muda wako wote kwa mwajiri,pili utawajibiki kufikiri ndani ya ya uwezo wa MTU mwingine yaani bodi wako huwezi kufanya lolote mpaka umshirikishe na aseme ndiyo au hapana kulingana na uelewa na mtazamo wake(bosi),tatu huwezi kuwa na maamuzi yeyote nije na Sera ,kanuni na taratibu za taasisi iliyokuajiri,nne unajengewa uoga wa kufanya maamuzi hata ukisyaafu ukapata mafao unaweza, kushinda kapanga kwa sababu umezoe kupangiwa, Tano hutaweza kufikiri zaidi ya kiwango cha mshahara unaolipwa.Yaani mawazo na maisha yako ni sawa na kiwango chsko cha mshahara kama unalipwa milioni moja utaishi na kuwa za kwa kiwango cha mulioni moja.Lakini kinyume cha kuajiriwa ni kuwa na uwezo wa kuwaza,kuamua ,kutekeleza na kuishi sawa sawa na uwezo wako wa elimu au ujuzi ulio Nao.Una uwezo wa kujitungia Sera,kanuni na taratibu zako mwenyewe na zaidi utakuwa na uwezo wa kuamua bila kuamuliwa utakuwabna uwezo wa kutumia muda wako vizuri na kama upendavyo, una muda wa kujifunza zaidi una muda wa tusafiri na kujumuika na watu.Pia unaweza kuepuka magonjwa ya shinikizo LA damu,sukari na kiyaruzi kwa sababu huna shinikizo la mwajiri wala matisho ya kufukuzwa au kusimamishwa Kazi, hujafungwa kufikiri kwa kiwango cha mshahara unaolipwa,bila umekuwa guru kufikiri kupata kipato kusicho na mwisho.Mimi sijawahi kumwona mjasiriamali aliyetosheka kutafuta ila nimeona waajiriwa wengine walioridhika na mshahara na wanasubiri tu kustaafu.Mfano raisi wa Marekani Donald Trump ni mfanyabiashara mkubwa sana lakini hujawahi kuacha kuwekeza kwenye Biashara majumba na hatimaye umeamua kuwania kuwa rais wa taifa kubwa kama hilo ambalo ndiyo lenye kauli juu ya mataifa mengi duniani. Nadhani hata angepewa nafasi ya kutawala mabra mengine bado angetamani kufanya hivyo. Swali he wewe elimu uliyonayo umewekeza wapi? Je utakuwa mtumwa wa maono ya watu mpaka lini? Je unakaa chini ya fikra ya kiongozi wako mpaka lini?Je utaongozwa na sera,kanuni na taratibu za taasisi zingine mpaka lini? Tagakati maswali hayo.Elimu uliyonayo au ujuzi ulionao ni silaha ya habari sana unaweza kukupeleka katika maangamifu kiumasikini au mafanikio ya kitajiri.Angalia matumizi ya elimu yao

    ReplyDelete