Tumeona
kuwa elimu ni ufunguo wa maisha kwani inaanza kukufungulia mlanago wa
kukutana na watoto amabao sio Ndugu wala hakuna uko Nao na hatimaye
kukutanisha na way mbali mbali kwenye upeo tofauti tofauti hadi
kukutanisha na wataalamu watakaokupa utaalamu wa kukufanya uwe na ujuzi
au utaalamu ambayo ndiyo hasa ufunguo wa kuweza kukufungulia Nyumba
maisha.He Nyumba inayoitwa maisha ni IPI?Nyumba maisha ni mahali popote
utakapokuwa ,ni mazingira yeyote utakayokuwa,uwe kazini uwe nyumbani au
mahali popote hakikisha unatumia elimu yako kupambanua
mazingira,hakikisha unatafuta changamoto zilizoko kwenye mazingira
uliyoko na kwa kutambua changamoto tumia elimu au ujuzi uliyonao kugeuza
changamoto kuwa fursa na chanzo cha kipato.Kwa kufanya hivyo utakuwa
umefungua Nyumba inayoitwa maisha.Ukitaka kuonana ufunguo wako haufanyi
Kazi anza kulalamikia mazingira uliyoko au anza kulaumu watu
wanaokuzunguka au kulaumu viongozi au serikali! Hakikisha unafanya mambo
kwa mtazamo chanya na sio hasi wala lawama.Ukiona unaanza kulaumu
mazingira na watu au serikali Juma karibu utapoteza mwelekeo na ufunguo
wako(elimu).Kama unaona elimu uliyonayo haendani na mazingira uliyoko na
fursa unaziona basi tafuta elimu inayofuatana na mazingira uliyopo!
Mfano kuna MTU mmoja alisomea mambo yabkuunga vyuma lakini akawa
kijijini na mule hakuna vyuma wala karakana akakwa hajui pa kuanzia
wala pa kutumia ujuzi alionao! Mwisho akaamu a kuchimba bwawa na kuvuna
Maji ya mvua kwa msimu na pole pole aliyahifadhi hayo Maji na kuanzia
kuyatumia wskati wakiangazi kuotesha mboga na niche michache ya
migomba.Wskati wakiangazinkumekauka kabisa alianza kuwauzia watu mboga
na kufunga wlndege na akaanza kutengenza kipato na mwisho alibadili
fikra na mtazamo wa watu juu yake. Katika mazingira hayo alianza
kujifunza Kilimo cha mboga mboga na kuweza kuwa utaalamu wa mboga na
matunda na hatimaye akawa mshauri mkubwa wa lishe na Kilimo mboga
mboga.Acha kulalamika kuwa mbunifu,!!
Friday, June 2, 2017
New
KAMA ELMU NI UFUNGUO UMEFUNGUA MLANGO UPI?
About MULTISKILSS CONSULTANCY COMPANY LIMITED
Templatesyard is a blogger resources site is a provider of high quality blogger template with premium looking layout and robust design. The main mission of templatesyard is to provide the best quality blogger templates.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment