Ni vizuri kuangalia na kujipima kuonana kuonana kaulionayo,kumbuka uwiano nzuri kati ya elimu uliyonayo na umri ulionao na rasilimali unazomiliki! Kama hakuna uwiano nzuri ni vizuri kutafuta namba ya kuweka uwiano kuwa nzuri kwani mwisho wa siku utaanza kusumbuliwa na msongo wa mawazo kutoka na na wingi wa majukumu yatakayo kuzunguka.Kumbuka kuna watu tunaamini kuwa elimu ni ukombozi au elimu ni ufunguo wa maisha! Lakini tunapotumia au kuamini dhana hii ya elimu ni ukombozi tujiulize imetokimboa vipi!?Kuna wengine elimu imewaangamiza badala ya kuwakomboa ,kuna wengine elimu imewaweka mahali pabaya sana na imewaharibia msingi yako ya maisha kabisa! Ni muhimu kutumia elimu kujengakujijengea rasilimali na sio kujenga mshahara.Kumbuka nilishawahi kusema mshara INA kufunga uwezo wa kufikiri,maana yake kama mshahara wako ni lako tano basi uwezo wako wa kufikiri ni lako tano na uwezo wako wa matumizi ni lako tano.Je kwa kufunga kwako huko unaweza kutumia elimu yako kujijengea rasilimali? Wengine hujui rasilimali ni nini! Rasilimali ni Mali (assets) zinazohamishika na zisizohamishika amnazo zinakuingizia au zinakusaidia kuingiza kipato! Mojawapo ya rasilimali yako ni elimu yako.Hii ni rasilimali isyoweza kushikwa au kuonekana ila ndiyo rasilimali ambayo kwa kwenye bahati ya kupata ndiyo inayowachukulia wengine muda kutafuta! Ni rasilimali ambayo ukitumia vizuri ni msingi wa kujenga na kutumia rasilimali zingine vizuri!Angali sana nani ananufaika na rasilimali hiyo uliyonayo! Je elimu yako na umri wako INA uwiano sawa na rasilimali ulizonazo?Tafakari sana na ujipime uone na kama ndo unaanza Kazi au unatafuta Kazi tafuta Kazi na uanze kujijengea rasilimali zako kupitia Kazi na baada ya muda anza kufanya mchakato wa kutumikia rasilimali zako nauache Mara moja kutumikishwa na ajira! Kama upo kazini umeajiriwa anza kufikiri NNE ya ajira na uangalie jinsi ya kujiongeza kipato kwa kutumia elimu ulionayo kumbuka hakuna au ni waajiri wachache sana wanaoweza kukuambia utumie elimu au ujuzi wako kujinufaisha! Acha kutimiza maono ya watu wengine anza kutimiza maono yako! Uwe na siku njema.
Wednesday, June 21, 2017
New
ELIMU YAKO ,UMRI WAKO NA RASILIMALI ULIZO NAZO ZINAENDANA?
About MULTISKILSS CONSULTANCY COMPANY LIMITED
Templatesyard is a blogger resources site is a provider of high quality blogger template with premium looking layout and robust design. The main mission of templatesyard is to provide the best quality blogger templates.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment