Tumeona kutoka Mara zilizopita kuwa elimubni ufunguo wa maisha,pia Jana tuliona kuwa juhudi na maarifa ni shins LA maendeleo,au kwa maneno mengine juhudi na elimu ni shins LA maendeleo. Swali linakuja nani unatumia elimu yako kwa asilimia nyingi? Je anayetumia elimu yako anakulipa ujira unaostahili?Je kama anayetumia elimu yako anafaidika anafaidika kuliko wewe je atakubakizia sehemu gani kwa matumizi yako binafsi?Ni muhimu kujiuliza haya maswali kwani kuna Msemo mmoja unaosema fainali ni uzeeni. Msemo huu unamaanisha kuwa kuna uzee na katika uzee nguvu zinapungua na uwezo wa ajili pia unapungua hata utendaji unapungua ,hivyo kama nguvu zako na elimu yako ilitumika na MTU mwingine bila kulipa ujira unaostahili,kukuwekea mazingira mazuri ya kufikia fainali kwa ushindi basi ujue ulikuwa unatimiza maononna malengo ya MTU mwingine asiye hali maono wala malengo yako. Ni sawa na mtu na MTU anayetumia panga kufyeka msitu likiwa butu badala ya kulinoa alitupa anatafuta au kununua lingine lenyevmakali. Ndiyo ajira zinavyotumia ELIMU yetu.Sijasema ajira ni mbaya ila ni vizuri kuangalia na kuwa makini na fainali yako ukiwa kwenye ajira. Jaribubkufikiri nije ya boksi usifungwe na wadhifa ulionao sehemu ajira fikiri nije ya wadhifa wako ,lazima uwe na mpango mwingine na ufikirie mpango mwingine! Hata ukiwa rais lazima ujue kuna ukomo wa kuwa rais uwe waziri lazima ujue kuna ukomo,uwe mkuu wa koa lazima ujue kuna ukomo.Uwe na wadhifa wowote usilewe nao kuna ukomo wake na hapo ndipo fainali yako inaanza.Katika wadhifa wowote kilichokuweka au kinachokuweka na uwezo wa kufikiri na kuamua na vyote hivyo vinajengwa na kiwango cha elimu uliyonayo ambayo anayekupa wadhifa unajua unatumia ipasavyo uwezo wako wa kufikiri ,kuamua na elimu yako kutimiza malengo yako.Sasa ni jukumu lako kujua unatumia elimu yako au elimu yako inatumika.
Thursday, June 15, 2017
New
NANI ANATUMIA ELIMU YAKO
About MULTISKILSS CONSULTANCY COMPANY LIMITED
Templatesyard is a blogger resources site is a provider of high quality blogger template with premium looking layout and robust design. The main mission of templatesyard is to provide the best quality blogger templates.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment